Deuteronomy 11:26-28

26 aTazama, leo ninaweka mbele yenu baraka na laana: 27 bbaraka kama mtatii maagizo ya Bwana Mungu wenu, ambayo ninawapa leo; 28 claana kama hamtatii maagizo ya Bwana Mungu wenu na kuacha njia ambayo ninawaamuru leo kwa kufuata miungu mingine, ambayo hamkuijua.
Copyright information for SwhNEN